Tuesday, May 15, 2012

Ratiba ya Maombi yetu kwa njia ya Radio...!

Ndugu Mwana wa Mungu tunapenda kukujuza ya kuwa vipindi vyetu vya moja kwa moja kutoka kwenye ukumbi wa Radio Safina vinarushwa kila siku za J'nne, Al'hamisi na Jumamosi bila kusahau kipindi cha kila Jumapili ya mwisho wa mwezi tunapokuwa tukimwabudu Bwana na kumshukuru kwa yale yote aliyotutendea.
Hivyo basi tunakujuza fatilia vipindi hivyo vya moja kwa moja kwa njia ya Radio kupitia Mtandao.

Bwana Yesu akubaliki.....!