Thursday, June 14, 2012

Kufungua Milango Iliyofungwa..

Tembelea ukurasa wetu wa HUDUMA ili huweze kujisomea maombi ya KUFUNGUA MILANGO ILIYOFUNGWA

Maandiko: ufunuo 3:8, II Korint. 2:12, Malaki 3:10-12, Malaki 1:10
VIPENGERE VYA MAOMBI
  •       Katika jina la Yesu (Mara 3)
  •       Mwamba wangu wa kale, ninakuhabudu.  Uinuliwe katika jina la Yesu
  •       Milango yote iliyofungwa ninaiamru ifunguke, katika jina la Yesu (x2)
vipengere vinaenelea kwenye ukurasa wa Huduma.....