Saturday, July 28, 2012

Viwanja vya Sheikh Amri Abeid mjini Arusha kwa zidi kufulika kwa ajili ya maombi ya kutubu...

Enyi wana wa Mungu msiache kuambatana na sisi kwenye maombi ya kutubu kwa ajiri ya nafsi zetu na Taifa letu, kwa wale wote mlioko ndani ya mji wa Arusha mnaombwa kufika kwasababu haujachelewa ndo maombi yanaanza. Na kwa wale wote mlioko nje ya Nchi zidi kuambatana na sisi moja kwa moja kupitia Blog yetu.

Mbalikiwe nyote.
Amina.