Tuesday, December 25, 2012

Marry Chritsmas and Happy New Year 2013

Bwana Yesu asifiwee Wana wa mungu.. Yatupasa kusherekea kwa furaha kubwa siku ya leo kwa kuzaliwa Mkombozi wetu Bwana Yesu, hivyo basi wana wa Mungu imani yetu izidi kuimarika na kumjua Yesu mwokozi wetu. Tunawatakia Sikukuu Njema ya X-mass pamoja na Mwaka Mpya. Amen.