Friday, March 23, 2012

Miujiza yazidi kutendeka Radio Safina..!

 

Maajabu ya damu ya Yesu yazidi kujitokeza kwenye madhabau ya Radio Safina, kwa kuwaponya wagonjwa na watu wenye matatizo mbalimbali kwa kama kuyumba kwa ndoa, kusumbuliwa na Jini mahaba, kuandamwa na mikosi, kutekwa kwa nafsi yako yote tisa la kufurahisha zaidi ni jinsi gani Radio Safina ilivyofanikiwa kupambana na Wachawi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla na kuweza kuwashinda kwa damu ya Yesu.

Usikose kuja kupata baraka kila siku za Jumanne, Alhamisi na Jumamosi.......