Changia Safina


Radio Safina inazidi kujitanua, ili iweze kueneza vizuri Neno la Mungu kwa njia ya Radio nchi nzima, kwa hivi sasa Radio Safina imefanikiwa kupata Masafa ya kuweza kurushia matangazo yake kuelekea Mkoa wa Morogoro na baadae Dar es Salaam.
Ila bado inakusanya nguvu ya kifedha kwa ajiri ya Kulipia gharama za Kununulia Mnara pamoja na gharama za uendeshaji, Radio Safina inapenda kuwaeleza wale wote Wana wa Mungu wenye nia ya kuchangia Radio Safina ili izidi kueneza Neno la Mungu kwasababu kazi ya Mungu ni yetu sote.
Changia Radio Safina kwa njia zifuatazo:-
  1. CRDB Bank :- 
  2. M-Pesa(Vodacom) :- 0758 366518  au  0767 366518.