Sunday, September 9, 2012

JINSI YA KUSIKIA KUTOKA KWA MUNGU (1)

INAKPASA UZALIWE MARA YA PILI (UOKOKE):
Kamwe haitawezekana kusikia kutoka kwa mtu usiyemfahamu au kumchukia kwa kujua ama kutokujua. Ili usikie kutoka kwa Mungu, hatua ya kwanza ni kumpokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wako.
Soma Warumi 10:9, Yohana 3:16,1 Yohana 1:9, Marko 8:36 na Isaya 1:18.


KUJITOA WAKFU: 
Ni lazima ujitoe kikamilifu kwa Roho Mtakatifu ili uweze kusikia toka kwake. Fil. 1:21. Gal. 2:20, Math. 6:33.


vipengele vitaendelea..........