Enyi Wana wa
Mungu, ni vyema kama tutaichangia Radio safina ili iweze kupeperusha vyema
Bendela yake ya kueneza neno la mungu Nchi nzima pamoja na Ulimwengu mzima, ni mikoa michache
iyayosikiliza neno la mungu moja kwa moja kupia Radio, ivyo hatuna budi
kuchangia ili izidi kutanuka na kusikilizwa kila Mkoa.
Mbarikiwe
sana wale wote mnaotupata kwa njia ya Radio pamoja na Mtandao.
Amina.